Loading...
FAHAMU WASHINDI WOTE WA TUZO ZA VPL(LIGI KUU YA TANZANIA) MSIMU ULIOISHA

FAHAMU WASHINDI WOTE WA TUZO ZA VPL(LIGI KUU YA TANZANIA) MSIMU ULIOISHA

0


Mchezaji bora amekuwa Juma Abdul
Mchezaji bora chipukizi amekuwa Mohammed Husein Tshabalala
Mchezaji bora wa kimataifa ni Thaban Kamusoko
Goli bora la msimu ameshinda Ibrahim Ajib
Kipa Bora amekuwa Aishi Manula toka Azam Fc
Kocha Bora amekuwa Hans Van Pluijm
Timu yenye nidhamu imekuwa Mtibwa Sugar
Mfungaji bora amekuwa Amis Tambwe

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY