DEMO
FRANCE (UFARANSA) VS GERMANY( UJERUMANI) FAHAMU HISTORIA TIMU HIZI ZILIPOKUTANA NA DONDOO...

FRANCE (UFARANSA) VS GERMANY( UJERUMANI) FAHAMU HISTORIA TIMU HIZI ZILIPOKUTANA NA DONDOO MUHIMU

0

UFARANSA
Ufaransa inakumbuka mwaka 1984 ilipocheza nusu fainali katika uwanja wa Stade Velodrome kabla ya kwenda kuwa mabingwa wa Euro. Uwanja wa Stade Velodrome ndiyo uwanja utakaotumika leo pia.

Ufaransa haijawahi kufungwa mechi ambayo Oliver Giroud alifunga goli, Wameshinda mechi 14 na kutoa sare moja kila ambapo Oliver Giroud alifunga goli.

UJERUMANI 
Ujerumani pia haijawahi kupoteza katika game zote ambazo Thomas Muller alifunga goli, walifanikiwa kushinda mechi 21 na kutoa droo 3, katika mechi ambazo Thomas Muller alifunga goli.

Shweinsteiger  ndiye mchezaji wa Ujerumani aliyecheza mechi nyingi zaidi kwa ujerumani za kimashindano ambapo amecheza jumla ya Mechi 37.Ufaransa na Ujerumani wameshakutana mara 27.
Ufaransa wameshinda jumla ya mechi 12
Ujerumani wameshinda jumla ya mechi 10.
Wametoka sare mechi 5.

Jedwali la matokeo kati ya Ufaransa na Ujerumani

Date Match Result Score Competition
15 Mar 1931 France v Germany W 1-0 International Friendly
19 Mar 1933 Germany v France D 3-3 International Friendly
17 Mar 1935 France v Germany L 1-3 International Friendly
21 Mar 1937 Germany v France L 4-0 International Friendly
05 Oct 1952 France v West Germany W 3-1 International Friendly
16 Oct 1954 West Germany v France W 1-3 International Friendly
28 Jun 1958 France v West Germany W 6-3 FIFA World Cup
26 Oct 1958 France v West Germany D 2-2 International Friendly
24 Oct 1962 West Germany v France D 2-2 International Friendly
27 Sep 1967 West Germany v France L 5-1 International Friendly
25 Sep 1968 France v West Germany D 1-1 International Friendly
13 Oct 1973 West Germany v France L 2-1 International Friendly
23 Feb 1977 France v West Germany W 1-0 International Friendly
19 Nov 1980 West Germany v France L 4-1 International Friendly
08 Jul 1982 Germany v France L 3-3 FIFA World Cup
18 Apr 1984 France v West Germany W 1-0 International Friendly
25 Jun 1986 France v West Germany L 0-2 FIFA World Cup
12 Aug 1987 West Germany v France L 2-1 Berlin Anniversary
28 Feb 1990 France v West Germany W 2-1 International Friendly
01 Jun 1996 Germany v France W 0-1 International Friendly
27 Feb 2001 France v Germany W 1-0 International Friendly
15 Nov 2003 Germany v France W 0-3 International Friendly
12 Nov 2005 France v Germany D 0-0 International Friendly
29 Feb 2012 Germany v France W 1-2 International Friendly
06 Feb 2013 France v Germany L 1-2 International Friendly
04 Jul 2014 France v Germany L 0-1 FIFA World Cup
13 Nov 2015 France v Germany W 2-0 International Friendly

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY