Loading...
FRANCE (UFARANSA) VS ICELAND FAHAMU HISTORIA TIMU HIZO ZILIPOKUTANA KATIKA MICHUANO YA...

FRANCE (UFARANSA) VS ICELAND FAHAMU HISTORIA TIMU HIZO ZILIPOKUTANA KATIKA MICHUANO YA KIRAFIKI NA KIMASHINDANO

0

FRANCE  VS ICELAND
Timu hizi zimekutana mara  Kumi na tano 15.
Ufaransa wameshinda mara Kumi na Moja  11.
Wametoka sare mara nne  4.
Iceland haijawahi kupata Ushindi katika mechi hizo zote 15 walizowahi kukutana.

ICELAND wamewahi kupata kipigo kikubwa zaidi mwaka 1957 ambapo walifungwa Goli 8 kwa 0 na Ufaransa kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Captain wa Iceland Aron Gunnarsson amesema Hadhanii kama wachezaji wenzake mafanikio waliyoyapata mpaka sasa yamewatosha anaamini bado wanahitaji kufika mbele zaidi.


JEDWALI LINALOONYESHA MECHI  WALIZOWAHI KUCHEZA 

JjDate Match Result Score Competition
02 Jun 1957 France v Iceland L 8-0 FIFA World Cup
01 Sep 1957 Iceland v France L 1-5 FIFA World Cup
18 Sep 1966 Iceland v France L 0-2 A v Amateur
25 Sep 1969 France v Iceland L 3-2 Amateur v A
22 Jun 1970 Iceland v France L 0-1 A v Amateur
12 May 1971 Iceland v France D 0-0 A v Amateur
27 May 1975 Iceland v France D 0-0 UEFA European Championship
03 Sep 1975 France v Iceland L 3-0 UEFA European Championship
10 Sep 1986 Iceland v France D 0-0 UEFA European Championship
29 Apr 1987 France v Iceland L 2-0 UEFA European Championship
05 Sep 1990 Iceland v France L 1-2 UEFA European Championship
20 Nov 1991 France v Iceland L 3-1 UEFA European Championship
05 Sep 1998 Iceland v France D 1-1 UEFA European Championship
09 Oct 1999 France v Iceland L 3-2 UEFA European Championship
27 May 2012 France v Iceland L 3-2 International Friendly
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY