FUTURE APATA DEAL NA KAMPUNI HII YA KUTENGENEZA VIATU

FUTURE APATA DEAL NA KAMPUNI HII YA KUTENGENEZA VIATU

0

Rapper Future amekuwa moja kati ya Rappers ambao wameingia katika ushirikiano wa kuwa Moja kati ya wasanii wachache watakaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Reebok.

Hii imekuja ikiwa tayari rapper tokea Upande wa Magharibi maarufu kama West Coast Kendrick Lamar kuwa tayari ameshakuwa balozi wa kampuni hiyo maarufu ya viatu.

Future ameshaanza kuviuzisha sura viatu hivyo karibu kila sehemu anayokwenda, akiwa kitaa mpaka kwenye shows mbalimbali alizofanya siku za karibuni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY