HAWA NDIYO WACHEZAJI WATAKAUUZWA NA JOSE MOURINHO

HAWA NDIYO WACHEZAJI WATAKAUUZWA NA JOSE MOURINHO

0

Tetesi ambazo zimetufikia ni kuwa Kocha Jose Mourinho anampango wa kuwauza wachezaji Juan Mata, Bastan Schweinsteiger.


toka Mourinho amewasili Man U basi kuna wachezaji wamekuwa wakitajwa sana kuachwa hasa Juan Mata, ila jana kupitia mtandao wa espnfc wametajwa wachezaji wengine kama Bastan Schweinsteiger,
Marcus Rojo na Daley Blind kuwa nao wako katika mipango ya Mourinho kuwauza.


NO COMMENTS

LEAVE A REPLY