DEMO
HII NDIYO ADHABU WALIYOPEWA KAMPUNI YA MABASI YA CITY BOYS BAADA YA...

HII NDIYO ADHABU WALIYOPEWA KAMPUNI YA MABASI YA CITY BOYS BAADA YA AJALI

0

Serikali imeifungia kampuni ya mabasi ya City Boys kufanya kazi za Usafiri wa abiria kwa njia ya mabasi kwa muda usiojulikana , baada ya ajali iliyotokea maeneo ya Maweni  mkoani Singida na kusababisha kuua watu 30 huku ikijeruhi wengine kadhaa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY