HII NDIYO HUKUMU WALIYOPEWA MESSI NA BABA YAKE

HII NDIYO HUKUMU WALIYOPEWA MESSI NA BABA YAKE

0


Messi na baba yake wamehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 21 sawa na mwaka mmoja na miezi tisa baada kukutwa na hatia ya ukwepaji wa kulipa Kodi.

Hata hivyo Messi bado ananafasi ya kukata Rufaa, na pia anaweza akapewa adhabu ya Kifungo cha Nje.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY