HII NDIYO IDADI YA MIAKA ALIYOHUKUMIWA KWENDA JELA OSCAR PISTORIUS

HII NDIYO IDADI YA MIAKA ALIYOHUKUMIWA KWENDA JELA OSCAR PISTORIUS

0

Oscar Pistorius ambaye alikuwa akituhumiwa Kumuua Mpenzi wake REEVA amehukumiwa miaka sita (6), BAADA ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake huyo mwaka 2013. Hukumu Hiyo imetolewa nchini Afrika Kusini .

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY