Loading...
HII NDIYO IDADI YA NGOMA AMBAZO AMESHAFANYA BERRY BLACK CHINI YA MKUBWA...

HII NDIYO IDADI YA NGOMA AMBAZO AMESHAFANYA BERRY BLACK CHINI YA MKUBWA NA WANAWE

0

Msanii Berry Black ambaye kitambo hiko waliunda kundi la Two Berries tokea Zanzibar, amesema mpaka sasa ameshatengeneza ngoma nne toka amejiunga na Mkubwa na wanawe, ameyaongea hayo alipokuwa akizungumza na Jabir Saleh mtangazaji wa kipindi cha Ladha 3600 ya EFM.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY