Loading...
HII NDIYO MAANA YA JINA LA WIMBO WA JOH MAKINI ” PERFECT...

HII NDIYO MAANA YA JINA LA WIMBO WA JOH MAKINI ” PERFECT COMBO “

0

Watu wengi baada ya wimbo huu kutoka ambao Joh Makini amefanya Ushirikiano na mwanamuziki wa kike kutoka Nigeria Chidinma hawakuelewa maana yake hasa ni nini?

Joh Makini amefunguka kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm  kuwa maana ya Perfect Combo ni ” Perfect Combination ”   utata ulikuwa kwenye neno kama Combo kumbe ile Combo imesimama kama Combination.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY