Loading...
HII NDIYO MAANA YA WIMBO WA MR. BLUE ” MBOGA SABA”

HII NDIYO MAANA YA WIMBO WA MR. BLUE ” MBOGA SABA”

0


Mr. Blue amefunguka maana ya wimbo wake wa Mboga saba kuwa inamaana ya Mtoto fulani wa kishua ila Haringi, yani Binti ambaye kwao pesa ipo ila hajisikii , yuko simple licha ya kuwa na pesa.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY