DEMO
HIKI NDICHO KITU AMBACHO DARASSA HATOKAA AKISAHAU KATIKA MAISHA YAKE

HIKI NDICHO KITU AMBACHO DARASSA HATOKAA AKISAHAU KATIKA MAISHA YAKE

0

Darassa hitmaker wa kama Utanipenda amefunguka kitu ambacho hatokaa akisahau katika maisha yake, Akiongea kupitia Ladha 3600 ya EFM darassa amesema kitu ambacho hawezi kukisahau ni pale alipompoteza dada yake Hadija Kasanga.

Darassa alifunguka kuwa DADA YAKE huyo alikuwa mtu muhimu sana katika familia yao na kwake pia, kwani ndiye mtu pekee katika familia ambaye aliweza kuthamini kitu ambacho Darassa alipenda kufanya, Alikuwa ni mtu aliyemsapoti sana Darassa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY