HILARY CLINTON ATEMBELEA MAKABURI NA WAFIWA WA WALIOUAWA CLUB YA MASHOGA

HILARY CLINTON ATEMBELEA MAKABURI NA WAFIWA WA WALIOUAWA CLUB YA MASHOGA

0

0722_hillary_clinton_pulse_nightclub_launch_2
Hilary Clinton Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic cha nchini Marekani ametembelea Makaburi na Familia za wafiwa za watu 49 waliouawa  katika club inayoaminika kuwa ni ya wapenzi wa jinsia moja(mashoga) iliyopo Orlando Marekani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY