Loading...
HUTAAMINI ALICHOKIFANYA ANTHONY MARTIAL BAADA YA KUNYANG’ANYWA JEZI NAMBA 9

HUTAAMINI ALICHOKIFANYA ANTHONY MARTIAL BAADA YA KUNYANG’ANYWA JEZI NAMBA 9

0

Toka Anthony MARTIAL ametangaziwa kubadilishiwa jezi namba 9 na kupewa namba 11 taarifa zinasema amemaindi sana, na kwa taarifa zaidi Ni kuwa MARTIAL ame UNFOLLOW account zote za Manchester United za Twitter na Instagram.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY