Loading...
HUU NDIYO MKOA AMBAO FIESTA 2016 ITAANZIA

HUU NDIYO MKOA AMBAO FIESTA 2016 ITAANZIA

1

Baada ya Tigo kutambulishwa kama mdhamini mkuu wa mwaka huu wa shughuli nzima ya Fiesta, Basi Uongozi wa Tigo na Clouds Fm wametangaza kuwa mkoa wa MWANZA ndiyo mkoa ambao FIESTA itaanzia.

Mwaka huu pia FIESTA itafanyika katika miji 15 ya Tanzania, Ikumbukwe mwaka jana FIESTA haikufanyika na sababu kubwa ikisemekana kuwa ni shughuli za Uchaguzi Mkuu.

Loading...

1 COMMENT

LEAVE A REPLY