Loading...
HUYU NDIYE ATAKAYETANGAZWA KAMA KOCHA MPYA WA ENGLAND (UINGEREZA)

HUYU NDIYE ATAKAYETANGAZWA KAMA KOCHA MPYA WA ENGLAND (UINGEREZA)

0


Timu ya taifa ya England kwasasa haina kocha mara baada ya kocha Hudgson kujiuzuru baada ya kutolewa katika michuano ya Euro, Leo habari zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa kocha wa sasa wa timu ya Sunderland anayeitwa  Sam Allardyce  ndiye mrithi wa Hudgson  hii ni baada ya FA kupitia na kumwona anafaa.

Muda wowote kutoka sasa atatangazwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY