Loading...
IBRAHIMOVIC NA POGBA WAPATA CHAKULA CHA PAMOJA,HII INAWEZA IKAMSHAWISHI POGBA KUJIUNGA UNITED?

IBRAHIMOVIC NA POGBA WAPATA CHAKULA CHA PAMOJA,HII INAWEZA IKAMSHAWISHI POGBA KUJIUNGA UNITED?

0
Mcheza soka ambaye tayari ameshakula mkataba wa mwaka mmoja katika club ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic na Mchezaji anayehusishwa kuwa anatakiwa na Manchester United Pogba  kupitia gazeti la Daily Mail imebainika kuwa walipata chakula cha Pamoja cha usiku wakiwa Los Angeles Marekani kwa likizo.
Chef Chinn claims Pogba was dining out with Manchester United striker Zlatan Ibrahimovic (left)
Bobby Chinn akiwa na Zlatan Ibrahimovic
Mmoja kati ya Wapishi wa kwenye Mgahawa huo na Mtangazaji wa Kipindi cha TV Bobby Chinn alithibitisha hayo  na aliandika pia katika mtandao wake wa kijamii.
Watu wengi baada ya taarifa hii wamekuwa wakisema huenda ni janja ya Mourinho ya kutaka Ibrahimovic amshawishi Pogba kujiunga na United.

Chef Bobby Chinn poses for a photo with Juventus midfielder Paul Pogba (right) in Los Angeles
Bobby Chinn akiwa na Pogba

                               

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY