Loading...
IGGY AZAELEA AMTUKANA NICK YOUNG NA KEONNA GREEN, SOMA SABABU

IGGY AZAELEA AMTUKANA NICK YOUNG NA KEONNA GREEN, SOMA SABABU

0

Iggy Azaelea ameingia kwenye vichwa vya habari mara baada ya kumtukana Mpenzi wake waliyeachana siku za Karibuni Nick Young kwa kuonyesha Dole la kati (Ishara Ya Tusi).

Iggy alionyesha alama hiyo akiwa uwanja wa ndege wa Australia  mara baada ya mmoja ya Wapiga picha kumuuliza kuhusu Anamaneno gani kuhusu taarifa za Mpenzi wa Nick Young anayejulikana kama Keonna Green kusema anamimba ya Nick Young?

Hapo ndipo Iggy akaonyesha dole la kati na kumwambia huo ndiyo ujumbe wake kwao.

Iggy Azalea

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY