DEMO
JERRY MURO KIBOKO, AWASHINDA TFF KWA UZEMBE WAO MDOGO SANA

JERRY MURO KIBOKO, AWASHINDA TFF KWA UZEMBE WAO MDOGO SANA

0


Afisa Habari wa Yanga leo alitakiwa Kufika TFF kwa ajili ya kwenda kufanyiwa maamuzi kutokana na mashtaka aliyokuwa akikabiliwa nayo.

Unajua Jerry kawashinda wapi TFF? barua iliyoandikwa na TFF ilimtaka Jerry Muro Afike ofisi za TFF bila kumwelekeza afike Kamati Gani, Basi JERRY MURO bila kupuyanga akaenda mpaka TFF ila mwisho wa siku akaondoka ofisi za TFF bila kutoa utetezi wote akisimamia point ya kutojulishwa anafika Kamati gani kwa ajili ya kikao hicho.

TFF Imeshindwa kutoa maamuzi yoyote kuhusu Jerry Muro kama ilivyotarajiwa, na sasa itawabidi kama wanataka kumhukumu waandike barua nyingine ambayo itakayoelekeza akienda kwenye kikao aende kwenye kamati gani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY