JKT RUVU YAMPIGA CHINI GAUDENCE MWAIKIMBA

JKT RUVU YAMPIGA CHINI GAUDENCE MWAIKIMBA

0

Timu ya JKT RUVU imeweka wazi kuwa ishamalizana na mchezaji Gaudence Mwaikimba na hawamuitaji kwasasa, Akiongea kupitia RFA michezo moja ya Viongozi wa Timu hiyo inayotokea mkoa wa Pwani amesema ” Tushamalizana na Mwaikimba na kwasasa hatumuhitaji “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY