Loading...
JOE BUDDEN AACHIA WIMBO WA NNE AKIMDISS DRAKE TENA

JOE BUDDEN AACHIA WIMBO WA NNE AKIMDISS DRAKE TENA

0
Joe Budden ameendelea kuteka mitandao hasa ya wapenzi wa muziki Duniani mara baada ya kuachia wimbo wa nne ambao kamdiss Drake. Joe Budden  Ameachia wimbo huo unaoitwa ” Just Because ” 
na kujikuta analeta mzozo kati ya mashabiki wake na mashabiki wa Drake huku washabiki wa Drake wakihoji kuwa Joe Budden ataacha lini Kumdiss Drake kwenye ngoma zake?

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY