JURGEN KLOPP AMEONGEZA MKATABA KUIFUNDISHA LIVERPOOL.

JURGEN KLOPP AMEONGEZA MKATABA KUIFUNDISHA LIVERPOOL.

0

Kocha wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp ameongeza mkataba wake katika club ya Liverpool ya nchini Uingereza.

Jurgen Klopp ameongeza mkataba wa miaka sita  6 kuifundisha majogoo hawa tokea Uingereza,  Wamiliki wa Club Hiyo wameonekana kumwamini klopp ambaye kabla alikuwa kocha wa Borussia Dortmund kabla ya kujiunga na Liverpool msimu uliopita.

Msimu ujao wa ligi tutegemee Ligi bora zaidi ya Uingereza kwani kutakuwa na makocha wageni kadhaa wa klabu kubwa, ila wengi wanasubiri kwa hamu maneno ya Jose Mourinho kama kocha wa United.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY