Loading...
KAA TAYARI KWA VIDEO YA TORATI YA MTAA

KAA TAYARI KWA VIDEO YA TORATI YA MTAA

0
Video ya Torati ya mtaa iko tayari na leo jioni  inatarajiwa kuachiwa Rasmi, Torati ya Mtaa ni moja kati ya Collabo za Hip Hop zinazofanya vizuri kwasasa.
 Ni wimbo ambao ni wa Chindo Man akiwashirikisha Fid Q, Wakazi, na Dully Sykes ambaye pia ndiye Producer wa wimbo huu.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY