KEVIN DURANT ATANGAZA KUSAINI GOLDEN STATE WARRIORS

KEVIN DURANT ATANGAZA KUSAINI GOLDEN STATE WARRIORS

0


Mchezaji wa Timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunders ametangaza msimu ujao wa ligi ya kikapu ya NBA atakuwa na mabingwa wa mwaka jana Golden State Warriors.

 Ikumbukwe mwaka huu mwaka Huu OKC walikubali kipigo kuelekea Ubingwa wa Upande wa Magharibi  toka GSW. sasa KD ataungana na mastaa wengine kama kina Stephen Curry.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY