KIFAA CHA JUNO KILICHOTUMWA NA NASA CHAFIKA SAYARI YA JUPITER

KIFAA CHA JUNO KILICHOTUMWA NA NASA CHAFIKA SAYARI YA JUPITER

0


KIFAA kinachojulikana kama Juno Kimefikika katika sayari ya Jupiter siku ya Leo mara baada ya NASA (Wanasayansi ) hawa kutoka Marekani kurusha kifaa hiko miaka mitano iliyopita na kwasasa kifaa hiko kitakuwa kinazunguka kikiwa kimejigusa(Kujiattach) kwenye sayari hiyo.

Kifaa hiko kitaweza kusaidia NASA kuwa wanapata taarifa au habari kuhusua sayari hiyo hasa yale maelezo ambayo kwa njia ya kawaida ilikuwa ngumu kuyajua.

Mara baada ya Kifaa hiko kufanikiwa kufika Jupiter makao makuu ya NASA yaliingiwa na Furaha ya Ajabu sana.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY