Baada ya vyombo vingi vya habari kuandika kuhusu Mahrez mchezaji wa Leicester kuwa katika mazungumzo ya kuhamia Arsenal zote za England.
Mtandao wa Skysports umeandika kuwa Kocha wa Leicester City maarufu kama the Foxes, Claudio Ranieri amemwambia Mahrez Kama Anataka Kukaa kwenye mbao Ndefu (Bench) basi Mahrez ahame Leicester City.
Mahrez ni moja kati ya wachezaji waliofanya vizuri sana msimu uliopita na kusaidia chama lake la Leicester kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu.
Loading...