Loading...
KOFFI OLOMIDE AKAMATWA NA KUHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MUDA HUU

KOFFI OLOMIDE AKAMATWA NA KUHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MUDA HUU

0


Taarifa Kutoka Congo ni kwamba Koffi Olomide amekamatwa mara baada ya kutua Congo na amehukumiwa kwenda jela miezi 18, sawa na mwaka mmoja na nusu.

Inadaiwa katika hukumu hiyo hakuna option ya kulipa Faini, hivyo anatakiwa kwenda jela , kwa taarifa zaidi tutaendelea kukupa kupitia mtandao huu

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY