Loading...
LADY GAGA NA TAYLOR KINNEY NI KWELI WAMEBWAGANA?

LADY GAGA NA TAYLOR KINNEY NI KWELI WAMEBWAGANA?

0
Penzi ambalo lilianza mnamo mwaka 2011 kati ya star Lady Gaga na Taylor Kinney limeripotiwa kuvunjika kimya kimya, imeandikwa na  mtandao wa E News kuwa juzi kati kulipokuwa na Birthday ya Taylor Kinney ilionekana wote wawili hawakuwa na Pete za Uchumba kwenye vidole vyao.
0719-lady-gaga-no-ring-INF-01
Na pia hata katika shows ambazo amekuwa akizifanya GAGA siku za hivi karibuni amekuwa hana pete hiyo ya Uchumba

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY