DEMO
LADY JAYDEE ANAKUJA NA WIMBO MPYA,FAHAMU JINA NA SIKU ATAKAYOUACHIA

LADY JAYDEE ANAKUJA NA WIMBO MPYA,FAHAMU JINA NA SIKU ATAKAYOUACHIA

0

Baada ya kufanya Vizuri na wimbo wake wa Ndi Ndi Ndi sasa mwanamuziki Lady Jaydee anatarajia kutoa kazi mpya.

Jide ataachia wimbo unaoitwa Sawa na Wao, ambao utakuwa hewani tarehe 4 mwezi wa saba yani siku ya Jumatatu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY