LEO NI MIAKA 50 TOKA ENGLAND UINGEREZA IBEBE KOMBE LA DUNIA(PATA DONDOO...

LEO NI MIAKA 50 TOKA ENGLAND UINGEREZA IBEBE KOMBE LA DUNIA(PATA DONDOO ZA MECHI ILIVYOKUWA)

0

Banks revels in extra-time victory over West Germany at Wembley in the summer of 66
Katika mechi hiyo iliyopigwa katika uwanja wa Wembley nchini Uingereza, England  walichecheza na Ujerumani ya Magharibi ambapo mpaka Mechi inaisha dakika tisini matokeo yalikuwa mbili kwa mbili.

Ila England itabidi imkumbuke sana Geoff Hurst ambaye aliweza kuweka kambani magoli mawili wakati wa dakika 30 za nyongeza NA kufanya matokeo kuwa 4 kwa 2  huku moja akifunga wakati wa dakika 90. hivyo siku hiyo Hurst alipiga Hat rick.  goli jingine la Uingereza lilifungwa na Martin Peters.

Magoli ya Ujerumani ya Magharibi (West Germany) yalifungwa na Helmut Haller, na Wolfgang Weber, katika mechi hiyo Iliwachukua dakika 12 tu Ujerumani kupata Goli lao la kwanza kabla Uingereza Kuchomoa dakika ya 18 na Kuongeza goli dakika ya 78, kabla ya Ujerumani kuchomoa goli dakika moja kabla mpira kumaliza dakika 90.
Banks and Co survived tense moments in beating West Germany 4-2 in the final

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY