Loading...
LIST YA VIWANGO VIPYA VYA FIFA JULY 2016, TIMU ISHIRINI BORA TANZANIA...

LIST YA VIWANGO VIPYA VYA FIFA JULY 2016, TIMU ISHIRINI BORA TANZANIA YASOGEA,UINGEREZA YAZIDI KUPOTEA

0
List hii inaonyesha Viwango vya sasa na vya kipindi kilichopita
1. Argentina (1)
2. Belgium (2)
3. Colombia (3)
4. Germany (4)
5. Chile (5)
6. Portugal (8)
7. France (17)
8. Spain (6)
9. Brazil (7)
10. Italy (12)
11. Wales (26)
12. Uruguay (9)
13. England (11)
14. Mexico (16)
15. Croatia (27)
16. Poland (27)
17. Ecuador (21)
18. Switzerland (15)
19. Turkey (18)
(tie) Hungary (20)
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 136 msimu uliopita mpaka nafasi ya 123.
Portugal imesogea kutoka nafasi ya nane (8) mpaka ya sita (6) nafikiri hii ni baada ya ubingwa wa Euro.
England imetoka nafasi ya 11 mpaka 13.
Wales imesogea kwa kasi kubwa toka nafasi ya 26 mpaka nafasi ya 11.
Ufaransa nayo imesogea kutoka nafasi ya 17 mpaka nafasi ya 7, nafasi kumi zaidi.
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY