Loading...
MAGARI YANASIYOTUMIA MAFUTA SASA YAFIKA KENYA

MAGARI YANASIYOTUMIA MAFUTA SASA YAFIKA KENYA

0


Hii ndiyo Dunia ya Teknolojia bana , Nchi jirani ya Kenya tayari wameshaingia kwenye Teknolojia ya Magari yasiyotumia mafuta hata kidogo.

Magari hayo ni magari ambayo yanahitaji kuchajiwa kwa umeme tu then yanfanya kazi, kama zilivyo simu tu, kadiri chaji inavyojaa ndivyo linavyofanya kazi muda mrefu.

Gari hizo zinachaja zake ambazo ukichaji gari linaweza kwenda mpaka kilometa 90 kama gari limechajiwa vya kutosha, na moja kati ya faida za aina hii ya magari ni kuwa haina Injini zinazotoa moshi kama magari mengi ya sasa yalivyo.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY