Loading...
MANCHESTER UNITED YACHAPWA ZA KUTOSHA NA BORUSSIA DORTMUND HUKO CHINA

MANCHESTER UNITED YACHAPWA ZA KUTOSHA NA BORUSSIA DORTMUND HUKO CHINA

0


Timu ya Manchester United ya Nchini  Uingereza imekubali kichapo kikali ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki Kujiandaa na Msimu mpya huko nchini China baada ya Kuchapwa bao nne (4) Kwa 1 HUKU magoli ya Borussia Dortmund yakitiwa nyavuni na  Gonzalo Castro aliyeingia kambani mara 2, Dembele na Aubameyang, huku goli la Manchester United likifungwa na  Henrik Mkhitaryan

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY