Loading...
MANENO ALIYOYAANDIKA MWANA FA KWA AY IKIWA NI BIRTHDAY YA AY, AKIKUMBUSHIA...

MANENO ALIYOYAANDIKA MWANA FA KWA AY IKIWA NI BIRTHDAY YA AY, AKIKUMBUSHIA MSOTO HUU

0
Kupitia mtandao wake wa Instagram Mwana Fa aliandika 

” kuna siku mwaka aidha 2003 ama 2004,hatuna hata nauli ya daladala ya kwendea mjini,huyu jamaa akaniambia “easy mwanangu,utafika wakati tutakuwa tunaazimana magari”…kama kauli ndogo tu hivi enh?well,SIJAWAHI KUISAHAU na huwa namkumbusha KILA WAKATI tunapopata ugumu kwenye mambo yetu..jifunze kitu..
Happy eathstrong mi brethren..Mungu akulinde uendelee ku’spread positive vibes ONLY mi General..u kno what i mean.. @aytanzania
MY VERY RICH FRIEND..🙈😂 ” 

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY