Loading...
MATOKEO KATI YA FRANCE(UFARANSA) NA PORTUGAL (URENO). PORTUGAL VS FRANCE

MATOKEO KATI YA FRANCE(UFARANSA) NA PORTUGAL (URENO). PORTUGAL VS FRANCE

0

Dakika ya 20
Portugal 0 – 0 France

Ronaldo ametoka baada ya kuumia  na kushindwa kuendelea.

Dakika ya 45
Portugal 0 – 0 France

Half time 0 – 0

Dakika ya 60
Portugal 0 – 0 France

Dakika ya 90
Portugal 0 – 0 France

Mechi sasa ni muda wa nyongeza 30

Dakika 115
Portugal 0 – 0 France

Ureno wamepata goli kutoka kwa Eder

Mpira umesha kwa Ureno kubeba Ubingwa baada ya kushinda  goli moja kwa bila

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY