MATOKEO YA MWISHO KATI YA ITALY NA GERMANY(UJERUMANI)

MATOKEO YA MWISHO KATI YA ITALY NA GERMANY(UJERUMANI)

0

Mpaka dakika 45 ZINAKATIKA au zinaisha matokeo bado ni bila kwa bila.

KWASASA
 Ujerumani wamepata goli kupitia kwa MESUT OZIL DAKIKA ya 65 ,

Italy wamechomoa Goal kwa njia ya Penalty kupitia Leonardo Bonucci dakika  ya 78
FT (90 MINUTES)  ni Germany  1 – 1 Italy 

MATOKEO MUDA WA NYONGEZA
120′ Germany 1 – 1 Italy

MATOKEO YA PENATI
UJERUMANI Imeshinda kwa penalties 6 kwa 5.
               

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY