MATOKEO YA CHELSEA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI AUSTRALIA

MATOKEO YA CHELSEA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI AUSTRALIA

0

Chelsea's Bertrand Traore celebrate scoring the opening goal with Diego Costa in Austria.
Baada ya Conte kuanza vibaya katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki kwa kipigo cha bao mbili bila, jana Jumatano Chelsea imepata ushindi wa bao Tatu 3 kwa bila 0.

Magoli ya chelsea yalifungwa na Traole, Cheek na Chalobah.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY