Loading...
MAWAZIRI WASISITIZWA KUHAMIA DODOMA,FAHAMU WAZIRI MKUU ATAHAMIA LINI

MAWAZIRI WASISITIZWA KUHAMIA DODOMA,FAHAMU WAZIRI MKUU ATAHAMIA LINI

0


Waziri mkuu Kassim Majaliwa huenda akawa mfano kwa mawaziri wengine mara baada ya kuahidi kuwa tayari atakuwa amehamia Dodoma kufikia mwezi wa tisa.

Hayo yamekuja mara baada ya tamko la Rais kusema kuwa Atahakikisha kuwa serikali inahamia Dodoma ndani ya miaka yake mitano ya awamu ya Kwanza kama Rais.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY