DEMO
MEDEAMA VS YANGA :FAHAMU DONDOO MUHIMU KUHUSU MEDEAMA,NAFASI KATIKA LIGI YA KWAO...

MEDEAMA VS YANGA :FAHAMU DONDOO MUHIMU KUHUSU MEDEAMA,NAFASI KATIKA LIGI YA KWAO NA MAMBO MENGINE MUHIMU

0


Kama ulikuwa unaichukulia poa Medeama basi unakosea sana maana ni moja kati ya timu zinazofanya vizuri sana hata katika ligi ya Kwao.

 Japo ipo katika nafasi ya nne ila imeshacheza mechi 19 ikiwa na points 33, huku wa kwanza akiwa na points 38 akiwa kacheza mechi 21 mechi mbili zaidi ya Medeama. Inamaana Medeama akishinda viporo vyake anakaa kileleni.

Medeama Sc pia ni moja kati ya timu inayoongoza kwa kushinda mechi nyingi zaidi katika ligi hiyo mpaka sasa ipo kati ya Top 3 ikiwa imeshinda mechi 10 kati ya 19 huku ikitoka sare mara 3 na Pia ikipoteza Mechi 6.

Kocha wa Medeama  Prince Owusu amesema Kikosi chake kiko vizuri sana kukabiliana na Yanga,  taarifa zinasema kuwa mpaka sasa hakuna majeruhi yeyote katika kikosi hiko cha Medeama.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY