Loading...
MFAHAMU MCHEZAJI ALIYEKAMILISHA MAZUNGUMZO NA SIMBA ANAYESUBIRI KUSAINI TU

MFAHAMU MCHEZAJI ALIYEKAMILISHA MAZUNGUMZO NA SIMBA ANAYESUBIRI KUSAINI TU

0

Mara baada ya tetesi zahapa na pale kuwa Simba iko mbioni kumnasa mchezaji Shizza Kichuya basi ndo ujue siyo story issue tayari imekamilika.

Kupitia Chanzo chetu, Shizza kichuya ambaye bado anamkataba wa mwaka mmoja na Mtibwa Sugar aliruhusiwa na club yake ya Mtibwa kufanya mazungumzo na Simba, na sasa Amekamilisha mazungumzo na Simba.

Kichuya kwasasa anasubiriwa kusaini mkataba wa miaka miwili kukipiga Simba katika misimu hiyo miwili ambayo ataicchezea Simba.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY