MFAHAMU MKUU WA MKOA ALIYEKATAA TUZO YA USAFI

MFAHAMU MKUU WA MKOA ALIYEKATAA TUZO YA USAFI

0

Mkuu wa Mkoa Wa Mbeya AMekataa tuzo ya Usafi ambapo jiji ya Mbeya Liliibuka kama jiji safi zaidi Tanzania.

Mkuu huyo wa mkoa alikataa huku akisema Jiji litashindaje usafi wakati halina hata bustani za kupumzikia, uchafu umejaa maeneo mengi ya jiji? Mkuu wa mkoa huo Amosi Makalla alionyesha wazi kutoelewa Vigezo vipi hasa vinavyotumika hasa ukizingatia yeye binafsi bado anaona jiji ni chafu.

Tuzo hizo zilitangazwa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu huku Tuzo ngazi ya wilaya ikibebwa na  Halmashauri ya wilaya ya Njombe.
Na Kinondoni ikiongoza kwa Manispaa za MAJIJI.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY