MKUBWA NA WANAWE KIBOKO, FAHAMU MIAKA ALIYOKAA RAPPER GE2 MPAKA KUTOA WIMBO...

MKUBWA NA WANAWE KIBOKO, FAHAMU MIAKA ALIYOKAA RAPPER GE2 MPAKA KUTOA WIMBO WAKE WA KWANZA

0

Mkubwa na wanawe kweli kunahitaji uvumilivu wa dhati toka unaingia mpaka unatoa wimbo wako redioni, Rapper wa Kike ” Ge2 ” ambaye kwasasa  anatamba na wimbo wake wa Sitaki Tararira (Audio & Video ). Ametumia idadi ya miaka minne (4) mpaka  kuachia wimbo wake huo wa kwanza.

Jaribu tu kujiuliza ni wasanii wangapi wangekubali kukaa miaka yote hiyo wakiwa wanapikwa tu kwaajili ya muziki, nafikiri ni wengi wasingeweza kusubiri kwa muda wote huo wa miaka minne, Ge2 ameyaongea hayo kupitia kipindi cha ladha 3600 efm.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY