Loading...
MLIPUKO WAUA WATU ZAIDI YA 60 NA KUJERUHI ZAIDI YA WATU 200

MLIPUKO WAUA WATU ZAIDI YA 60 NA KUJERUHI ZAIDI YA WATU 200

0


Kumeripotiwa mlipuko wa kujitoa mhanga  katika mji mkuu wa Afghanstan yani Kabul ulioua watu zaidi ya 60 na Kujeruhi watu zaidi ya 200. Imeripotiwa watu hao walikuwa katika maandamano kabla ya watu wasiojulikana kujitoa mhanga na kusababisha majanga hayo

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY