Loading...
MSHINDI WA MBIO ZA MAGARI(RALLY S.A) AFRIKA KUSINI GUGU ZULU AFARIKI...

MSHINDI WA MBIO ZA MAGARI(RALLY S.A) AFRIKA KUSINI GUGU ZULU AFARIKI AKIPANDA MT.KILIMANJARO

0
Hapa Gugu Zulu akiwa na mkewe

Ni kifo kilichowashtua watu wengi wa South Afrika hasa ukizingatia ni siku ya kumkumbuka Shujaa wa Nchi hiyo Nelson Mandela.

Gugu zulu alikuwa anapanda mlima kama kusaidia kampeni inayojulikana kama Trek4Mandela inayolenga Kusaidia watoto wa Afrika kusini kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika shughuli za masomo na kina mama kiujumla wa afrika.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY