N’GOLO KANTE SASA NJIA NYEUPE KUELEKEA CLUB HII YA ENGLAND

N’GOLO KANTE SASA NJIA NYEUPE KUELEKEA CLUB HII YA ENGLAND

0

N’GOLO KANTE sasa njia nyeupe kuhamia Chelsea baada ya Chelsea kukubali Kulipa fedha ya Uhamisho
N'Golo Kante wasn't at his best, but he still provided some much-needed energy in the Leicester City midfield against Watford.

Timu ya Chelsea imekubali kumsajili Mchezaji N’GOLO KANTE  kutoka Leicester City zote za ENGLAND, Baada ya kukubali kulipa ada ya uamisho yenye thamani ya Euro 29.2 millions  ila kupitia Sky Sports wameandika kuwa uhamisho huo unaweza kufikia mpaka Euro 30.5 millions.

Kante anatarajiwa kusaini mkataba wa  miaka mitano (5) kuichezea Chelsea na atakuwa akilipwa takribani Euro 120,000 kwa wiki.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY