Loading...
Nikipata gari Lyrics – OmG

Nikipata gari Lyrics – OmG

0


NIKIPATA GARI LYRICS
[Intro: Young Lunya]
Benz ama, Vogue ama, Range ama
Nikipata gari iwe Benz ama, Vogue ama, Range ama (nigga)
Nikipata gari ntaball kinoma
Nikipata gari, ntakua nakula mabata kinoma
Nikipata gari nitakuwa tozi
Nikipata gari, mpaka bebe ntaziletea pozi
Nikipata gari nitang’aza
Nikipata gari, kuchange mabata masaa kadhaa
Nikipata gari nitaringa
Nikiwa napanda kwenye gari yangu nitalean back (waya)
[Chorus: Young Lunya & Deddy]
Bebe anataka gari, wauni wanataka gari
Masela zangu mtaani nao wanataka gari
Sheshe anataka gari, Country anataka gari
Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima
Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama
Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima
Nitaball kinyama yaani
Got my 2Pac back, hairstyle you know that
Bad girls talk a lot of shit I did voice call they record it
Lame niggas hating I know, Dar nzima I know
Pull up kwa pusher
Kichwani nina map ntaenda kote kila kona ya Dar
Pembeni mtoto mkali looking sexy in the car
Mangoma ya kinyamwezi mpaka mtoto anasmile
Bata wapi ntaweka wese sio curse
And I won’t delay, all day errday
Tuna get paid, bata, kila siku, usiku, tunaball mzee
Nikiwa na machizi ni hot bugs
Mpaka ushushe vioo, macho mekundu we blow
Moving paper we throwing huh
[Chorus: Young Lunya & Deddy]
Bebe anataka gari, wauni wanataka gari
Masela zangu mtaani nao wanataka gari
Sheshe anataka gari, Country anataka gari
Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima
Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama
Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima
Nitaball kinyama yaani
Bado sijaipata but talking bout my life
I only ride her out for a day, and now she’s trynna be my wifey
Ntaacha gumzo where I stay wachache ndo watakua my type
And they’ll be like.. (heeell yeah!!!)
Nikipata gari ntafuta mapozi, nitembee na bonge la sista duu
Na drift tu ka mabitozi, mia thelathini ila s’tini mi sita do
Na bonge la chupa la champagne, utafkiri tunafanya campaign
Hawapandi maboya, demu ka , Oya! Tairi inasustain
Bagamoyo ni half an hour, nitaacha turbo zimejigawa
Mzigo utapaa kaa kaa kaa kama nimefunga mbawa
Try to be what I be, nikipata tu it’s not me
Ningekupa keys, my nigga please, but you don’t see what I see, No keys
[Chorus: Young Lunya & Deddy]
Bebe anataka gari, wauni wanataka gari
Masela zangu mtaani nao wanataka gari
Sheshe anataka gari, Country anataka gari
Na mi nikipata gari nitaizunguka Dar nzima
Nitaizunguka Dar nzima, ntaball kinyama
Nitaizunguka Dar nzima, nitaizunguka Dar nzima
Nitaball kinyama yaani

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY