Loading...
PAUL POGBA ANASUBIRI HILI TU ILI KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED

PAUL POGBA ANASUBIRI HILI TU ILI KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED

0
Paul Pogba said Manchester United is his 'first family' and that he would be open to a call from Jose Mourinho
PAUL POGBA

Mchezaji ambaye amegeuka Gumzo mara baada ya kuwa anahusishwa Kujiunga kati ya Real Madrid na Manchester United, PAUL POGBA ambaye msimu uliopita alikuwa Akikipiga katika club ya Juventus tokea Nchini Italia.

Kupitia Gazeti la Daily Mail limeandika kuwa kwasasa Paul Pogba anachosubiri ni kuitwa tu na Jose Mourinho ili waweze kufanaya mazungumzo.

Pogba amesema yuko tayari kwa mazungumzo na United na anachosubiri ni tamko tu la KOCHA Jose Mourinho  ili waweze kuzungumza.

Pogba alizidi kusema pia kuwa Manchester United ndiyo familia yake ya Mwanzo, Je hii deal la Pogba kujiunga United litatick? tusubiri

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY