Loading...
PEP GUARDIOLA KAFUNGUKA KUHUSU KUSALIMIANA NA MOURINHO WATAKAPOKUTANA JUMATATU

PEP GUARDIOLA KAFUNGUKA KUHUSU KUSALIMIANA NA MOURINHO WATAKAPOKUTANA JUMATATU

0

Pep Guardiola speaks to the media ahead of Manchester City's International Champions Cup against Man Utd on Monday

Pep Guardiola amesema hana tatizo kuhusu Kusalimiana na Jose Mourinho wakati ambao Manchester United itacheza na Manchester City pande za Beijing China, kwenye mashindano yanayojulikana kama International Champion Cup. Inafahamika kuwa Mourinho na Pep huwa haziivi.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY