DEMO
Loading...
PICHA 8: MWIGIZAJI JACKLINE WOLPER ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KIJIUNGA NA CCM

PICHA 8: MWIGIZAJI JACKLINE WOLPER ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KIJIUNGA NA CCM

0

IMG-20160723-WA0077

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi leo Julai 23.
Wolper amekaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.
Kitendo hicho kimefanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika leo Julai 23, mkoani Dodoma.
IMG-20160723-WA0077IMG-20160723-WA0076IMG-20160723-WA0075IMG-20160723-WA0074IMG-20160723-WA0073IMG-20160723-WA0072IMG-20160723-WA0071IMG-20160723-WA0070
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY