PICHA – BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANUNUA NDEGE BINAFSI YA...

PICHA – BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANUNUA NDEGE BINAFSI YA PILI

0
Bondia Floyd Mayweather amekuwa bondia ambaye huwa hawazi kabisa linapokuja suala la kutumia Pesa, alikuwa tayari anandege yake binafsi ila kwasasa ameongeza ndege ya Pili ambazo anaziita #AirMayweather 1 na #AirMayweather 2.  
Moja kati ya maeneo ya Ndege yake binafsi ya kwanza
Ndege ya kwanza ilikuwa na thamani ya shilingi za kitanzani kama bilioni 80. hii ya pili bado haijajulikana thamani yake.

AirMayweather 1 na AirMayweather 2 zikiwa zimejipanga moja mbele nyingine nyuma

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY